Winamp Logo
Dunduliza Cover
Dunduliza Profile

Dunduliza

Swahili, Education, 2 seasons, 14 episodes, 57 minutes
About
Je, ungependa kukuza, kutunza and kuelewa fedha zako zaidi? Basi umefika sehemu sahihi. Dunduliza inakupa muongozo kupitia dondoo mbali mbali za kuongeza maarifa yako ya pesa kila wiki. Kipindi chetu kinapatikana pia East Africa radio kila jumatatu asubuhi. Haba na haba hujaza kibaba... kupitia Dunduliza, tunakupa elimu na ushauri kulingana na malengo na mahitaji yako kwa kutumia mifano ya kila siku ili kukusaidia ufanikiwe. Karibu!
Episode Artwork

Pesa na Mahusiano

Jinsi ya kuongea na mwenza wako kuhusu fedha na faida zake. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/happiness-watimanywa/message
2/22/20224 minutes, 43 seconds
Episode Artwork

Zawadi za Valentine's

Kuwa wa tofauti na iba mifano hii kuonyesha ishara ya upendo aliye muhimu kwako. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/happiness-watimanywa/message
2/14/20223 minutes, 44 seconds
Episode Artwork

Muhimu ya Biashara

Dondoo zitakazo kuungoza kufanikiwa kwenye ujasiriamali na biashara. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/happiness-watimanywa/message
2/10/20224 minutes, 41 seconds
Episode Artwork

Ongeza Mshahara

Dondoo za kukupa kiinua mgongo na kukuhamasisha kuomba ongezeko la mshahara wako. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/happiness-watimanywa/message
1/31/20224 minutes, 34 seconds
Episode Artwork

Kukodi Nyumba

Mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kuanza harakati za kukodi au kuhama nyumba. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/happiness-watimanywa/message
1/24/20224 minutes, 40 seconds